Natafuta nyumba ya kupanda!

Natafuta nyumba ya kupanda!

Phinenicke

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
15
Reaction score
3
Habari wana jukwaa!
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sebule, jiko, vyumba atleast kuanzia viwili kimoja kiwe master, na public toilet. Iwe maeneo ya ubungo, kimara au mbezi. Isizidi laki mbili. Budget yangu ni 150000. Namba 0712738973
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom