Wakuu,
Kwa aliye na taarifa anisaidie natafuta nyumba ya kununua, iwe na hati, uwanja mpana at least square metre 1500. Tafadhali iwe mkoa wa DSM.
Mwenye kufahamu ani-pm akiambatanisha bei na picha ya nyumba, namba ya muuzaji, na maelezo yote muhimu yatakayorahisha ufanyikaji wa biashara hii.
N.B. isiwe mabondeni tafadhali
Wenu
Tougher