Mimi ninayo naiuza, ila haijakamilika naweza kukutumia picha, ipo kinyerezi. Inafikika kupitia Temboni au kinyerezi mwisho!
Offer yake umeiona?
hello, natafuta nyumba ya kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.
nyumba za nhc zinaanza kuuzwa soon bei m 50,pitia web ya nhc,T/kisukulu karibu na mahakama bar kuna nyumba inauzwa nimeona tangazo,la ambassador estate agencyhello, natafuta nyumba ya
kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya
mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.
asnte mkuu ntacheki web yaonyumba za nhc zinaanza kuuzwa soon bei m 50,pitia web ya nhc,T/kisukulu karibu na mahakama bar kuna nyumba inauzwa nimeona tangazo,la ambassador estate agency
ntakutafuta mkuuna nyingine ya milion 40 hapohapo ubungo cal me on 0714064767