Natafuta nyumba ya kununua Arusha Mjini

Natafuta nyumba ya kununua Arusha Mjini

Akija Kitomai au Dovillenproperty kwamba nyumba inauzwa100M au 300M mnawashushua kwamba haiwezekani nyumba iuzwe kwa bei hizo.

Jamaa anataka nyumba ya 10M mnamshushua kwamba hata kiwanja hapati.

Hebu shikeni moja siyo kama gagulo juu wazi na chini wazi
 
nyumbaa ziko za kumwaga aisee wewe ni mgeni nini mpk nyingine.zina matangazo zimekosa wateja ..fafanua location utafutiwe fastaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom