T tezzy Member Joined Jul 7, 2011 Posts 20 Reaction score 2 Aug 17, 2013 #1 Natafuta nyumba ya kupanga USA RIVER Arusha, iwe na vyumba vitatu vya kulala na parking. Mwenye nayo ani PM bei.
Natafuta nyumba ya kupanga USA RIVER Arusha, iwe na vyumba vitatu vya kulala na parking. Mwenye nayo ani PM bei.
oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Aug 17, 2013 #2 kuna nyumba ilikuwa maeneo ya makumira jirani na chuo cha tumaini si mbali na usa pale, sasa sijajua ka huyo mtu alishapata mteja, ukihitaji ntakuelekeza
kuna nyumba ilikuwa maeneo ya makumira jirani na chuo cha tumaini si mbali na usa pale, sasa sijajua ka huyo mtu alishapata mteja, ukihitaji ntakuelekeza