mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
Habari wakuu, Natafuta Nyumba ya msajili wa Majumba (NHC) Maeneo ya Posta na kisutu, aina ya nyumba ninayotaka ni ile ya kumlipa mtu mwenye mkataba fedha ili anipe mimi nyumba, iwe na vyumba kuanzia viwili hadi vitatu , sebule jiko na choo, aliyekuwa naye tafadhali Ni PM Faster Tufanye Biashara….
Una kiasi gani?
Ipo nilionyeshwa 3bed ground floor maeneo ya Al Hassan Mwinyi Road (Upanga near Jamatini). Jamaa walitaka 80Mil. Are you interested?
hebu acha ushamba wewe Sinza kijitonyama kuna apartment za nguvu kwa bei fresh kabisa.me nataka city centre, na kwa hiyo mil 80 jamatini ya NHC, Si bota nijenge yangu mkuu au ninunue mjengo wangu kabisa, niliwai kuonyeshwa maeneo ya upanga pia mwaka juzi ilikuwa kati ya mil 10-15 ,hiyo yako kali kakaaaa
hebu acha ushamba wewe Sinza kijitonyama kuna apartment za nguvu kwa bei fresh kabisa.
Ipo nilionyeshwa 3bed ground floor maeneo ya Al Hassan Mwinyi Road (Upanga near Jamatini). Jamaa walitaka 80Mil. Are you interested?
Loh! hiyo 80M ni pango au ni nini?!! Maana 200M unaweza kupata apartment ya kununua mitaa prime kabisa!...du.
Loh! hiyo 80M ni pango au ni nini?!! Maana 200M unaweza kupata apartment ya kununua mitaa prime kabisa!...du.
Mkuu 200M napata wapi 3bed apartment hapa mjini?
Una kiasi gani?
Habari wakuu, Natafuta Nyumba ya msajili wa Majumba (NHC) Maeneo ya Posta na kisutu, aina ya nyumba ninayotaka ni ile ya kumlipa mtu mwenye mkataba fedha ili anipe mimi nyumba, iwe na vyumba kuanzia viwili hadi vitatu , sebule jiko na choo, aliyekuwa naye tafadhali Ni PM Faster Tufanye Biashara .
pls call 0714 041313
Pls call 0714 041313