Natafuta Nylons Packaging Bags Kama Za DHL. Wanatengeneza wapi.

Natafuta Nylons Packaging Bags Kama Za DHL. Wanatengeneza wapi.

Marketer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
261
Reaction score
55
Natafuta supplier au kiwanda cha nylon packaging bags kama za DHL za kusafirishia vifurushi. Ziwe na uwzo wa kuwa sealed kwa gundi na sehemu ya kuattach documents kwa juuu. Sample pichani. Kama unajua wanapofanya au napoweza kupata tafadhali nielekeze au nisaidie mawasiliano yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom