Natafuta nyama pori

Njoo huku kwetu unapata hadi yule aliyezuiliwa kuwindwa (Utambulisho wa Taifa - huku kwetu majangili huwa yanampa jina la Rais aliyeko madarakani). Nakumbuka miaka ile yalikuwa yanamwita Che-Nkapa!!!
 
piga no hii. 0754254188.utapata nyama ya kuchoma au mbichi.maeneo ya kituo cha africana mbezi beach.wahi fasta msimu wa kuwinda unaisha 31 dec.ipo sehemu nyingine karibu na gate la bahari beach lakini pale ni ya kuchoma tu.

Nilisema JF ni zaidi ya Google. Nimepata kitu cha Swala na Kongoni. Nipo nafaidi na familia nikisindikizia na Jack Daniels.
JF idumu na members wadumu zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…