Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,828 Dec 16, 2012 #1 wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta nokia c5-00 5MP iwe mpya; pia kama kuna used fresh tu nitaangalia bei yako. kama andika na bei unayoiuza hapa
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta nokia c5-00 5MP iwe mpya; pia kama kuna used fresh tu nitaangalia bei yako. kama andika na bei unayoiuza hapa
tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 Dec 17, 2012 #2 mi nnayo c7 bei 330
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,704 Reaction score 1,410 Dec 17, 2012 #3 n8 350k
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,828 Mar 8, 2013 Thread starter #4 vanmedy said: n8 350k Click to expand... tumlack said: mi nnayo c7 bei 330 Click to expand... ndugu zangu hamjui kusoma au? Mbona ombi langu hapo lipo wazi na kama ningekuwa nahitaji na hizo ningesema hapo juu..!
vanmedy said: n8 350k Click to expand... tumlack said: mi nnayo c7 bei 330 Click to expand... ndugu zangu hamjui kusoma au? Mbona ombi langu hapo lipo wazi na kama ningekuwa nahitaji na hizo ningesema hapo juu..!