Mkuu nadhani ulimaanisha
MalafyaleP huyu.
Mkuu
steam of ice mcheki huyo ndio anafuga nguruwe na ana mbegu nzuri kweli pia unaweza tembelea ukurasa wake wa Instagram unaitwa "malafyalepigfarm" kama sijakosea. Pitia huko utaona aina ya mbegu alizonazo pia kuna vitabu viwili ameandika kuhusu ufugaji wa nguruwe ukipata bahati ya kuvipitia ni msaada kweli vimeelezea mambo mengi sana na vimeandikwa kupitia ujuzi wake alioupata katika tasnia ya ufugaji nguruwe.