Natafuta nafasi ya Uingizaji wa Data (Data Clerk)

CFX

Member
Joined
May 14, 2019
Posts
40
Reaction score
38
Habari wakuu,

Ninashida na kujua wap wanatoa nafasi za data clerk part time kwa hapa Dar.

Nauliza hapa kwa sababu humu kuna watu mbali mbali wanaofanya kazi mbali mbali

Elimu Diploma in Information Technology

Uwezo binafsi:
Graphics Designer,
Photographer,

Mawasiliano 0627225627

Kazi yoyote pia Nafanya ili kujikwamua na hili Tatizo la Ajira Kuna kiasi natafuta niendele nilipoishia kwenye kujiajiri tashukuru [emoji419]
 
Mungu akusimamie Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…