Habari wadau
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye Nina degree lakini sio ya ualimu.
Nimekuwa nikifundisha somo la Physics kwa muda mrefu katika shule mbalimbali za binafsi kwa mafanikio makubwa tu kwa vidato vyote (O and A level) lakini pia nimefundisha Math kwa uchache.
Natafuta nafasi ya kufundisha mkoani mbeya kwa sababu za kifamilia
Yeyote mwenye connection anifanyie mpango