Natafuta mwenzi

je kuna ubaya gani mtu kutafuta mchamba kupitia mtandaoni?naombeni majibu yenu wadau
 
Ili ufanikiwe katika utafutaji nakushauri uongeze information kuepuka maswali yasiyo ya lazima mfano jinsia yako, umri na unatafuta mtu mwenye sifa gani (hii ita-save sana muda wako na wa walengwa)
 
Mmmh hupati kwa mtindo huu wa uandish andika kitu cha kueleweka...

Kupata mke kazi
 
natafuta binti wa kuoa umri miaka kati ya 18-20,mkristo(muumini wa kanisa llte la kiroho)kabila llte,awe tayari kwa ndoa na kupima vvu
 
Mmmh hupati kwa mtindo huu wa uandish andika kitu cha kueleweka...

Kupata mke kazi

kwanza, usiku mwema!!

pili, ukiamka unitafute kwa PM! sawa mamii? serious kabisa!
 
Miaka 16?
Miaka 16 hata manyoya bado hayajamea vyema mtoto huyu ndiyo unataka awe mke wako?
Wewe ni mbakaji bana!
 
Kwangu nina beki 3 ana miaka 19 kajengeka kikisuli,kikazi na maadili....njoo uoe.
 
je kuna ubaya gani mtu kutafuta mchamba kupitia mtandaoni?naombeni majibu yenu wadau

ukiwa serious utapata tu dogo, ila uwe mvumilivu. Mimi ilinichukua zaidi ya miezi sita mpaka kumpata binti mwenye sifa nilizotaka, na nikapata mtoto wa kipare pure from Usangi.
 
^^
Ukimpata ukumbuke kutufahamisha, kila lenye baraka.
^^
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…