SANTEEEEEEEEHabari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
nitumie picha yako ukiwa umevaa chup.iHabari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
mlitaka mpewe chai?Tukijaga PM munatijibu Hovyo
Wengi wanaoweka threads hiz huwa wana Research ktk social network kuona response hakuna ukweli wa Threads zaomlitaka mpewe chai?
mimi nilikuwa mkweli ila sikupataWengi wanaoweka threads hiz huwa wana Research ktk social network kuona response hakuna ukweli wa Threads zao
Mmmm kweli? Ucjal utapata akikosekana ntkuoa mimimimi nilikuwa mkweli ila sikupata