katto14 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 226 Reaction score 62 Dec 20, 2016 #1 Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
YNNAH JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,706 Reaction score 974 Dec 20, 2016 #2 Ndugu yangu...bado hujapata tu...
binti wa kirombo JF-Expert Member Joined May 17, 2016 Posts 847 Reaction score 965 Dec 20, 2016 #3 Omba mungu utapata tuuu hakika
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,864 Dec 20, 2016 #4 mwaka mzima unatafuta
C cimque Member Joined Sep 15, 2016 Posts 54 Reaction score 10 Dec 20, 2016 #5 YNNAH said: Ndugu yangu...bado hujapata tu... Click to expand... Halo mtihani kazi ndio sina
katto14 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 226 Reaction score 62 Dec 26, 2016 Thread starter #6 kama huna cha kuchangia bora ukae kimya km tangazo lipo mwaka mzima we halikuhusu
M mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,578 Reaction score 6,443 Dec 26, 2016 #7 katto14 said: kama huna cha kuchangia bora ukae kimya km tangazo lipo mwaka mzima we halikuhusu Click to expand... acha hasira mkuu...huwezi jua ya kesho...wanaweza wakakubalia wao
katto14 said: kama huna cha kuchangia bora ukae kimya km tangazo lipo mwaka mzima we halikuhusu Click to expand... acha hasira mkuu...huwezi jua ya kesho...wanaweza wakakubalia wao
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,960 Reaction score 25,311 Dec 26, 2016 #8 Miss Natafuta said: mwaka mzima unatafuta Click to expand... Hahahaha unamjua nini ...