Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Sifa zoote ninazo, tatizo mie Mkurya.Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM
Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo
Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
AsanteKaribu dada
MimiT@ miaka sio tatizo... Ikiwa tayari ninajielewa na najua ni nini nataka maishani mwangu.. Ninaweza kumpenda na kumuheshimu mme wangu... Kwa wanaolia aidha ni kasoro chache chache za wenza wao... Hakuna binadamu asie kasoro22 yrs unaitaka ndoa. Still young. Ungefikisha hata 25 ndio uanze mchakato. Watu wanalia kila siku humu..huwaoni? Kila la kheri..utampata!
Hahaha na kweli.....Wakuyra na wajita imekula kwao [emoji28]
Dada huyu hataki kupigwa [emoji23]
Private message... InboxHivi PM ndiyo wapi?
Sawa.MimiT@ miaka sio tatizo... Ikiwa tayari ninajielewa na najua ni nini nataka maishani mwangu.. Ninaweza kumpenda na kumuheshimu mme wangu... Kwa wanaolia aidha ni kasoro chache chache za wenza wao... Hakuna binadamu asie kasoro
Pambafuuu....hii avatar yako imenifanya nijione mjinga baada ya kufuta screen ya simu mara kadhaa na kujiuliza ni kwa nini huyu mdudu hatoki.Unatafuta future na mwenye kazi. Ungeanza na asiye na kazi kama wewe kwanza.
Kupanga ni kuchagua,na hayo ndo aliyochagua.22 yrs unaitaka ndoa. Still young. Ungefikisha hata 25 ndio uanze mchakato. Watu wanalia kila siku humu..huwaoni? Kila la kheri..utampata!