Natafuta mwanaume 40-55 single

rorena

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
39
Reaction score
7
Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia 40 hadi 55 nimechoka usumbufu wa vijana.
 
Wababa wengi wana kisukari na pressure hawali vitu vitamu wala vyenye mafuta ni PM kijana wa mwisho,sitakusumbua.
 
Kumbe wakongwe hatujachacha! wazee wenzangu pana bint huku anatafuta hifadhi kachoshwa na vijana kwanza wanasimamia kama baiskeli halafu matumizi anaacha 5000. Waqt mkongwe ukiombwa elfu 10000 ya ghafla unatoa laki
 
Pole sana, mbona hujajipambanua vizuri umri wako, upo Wapi, je umejaaliwa neema za Allah au la!!!! Funguka aisee!!!!

Duh! Ushakuwa msamiati huu "neema za allah"
 
Kuna mkaka anatafuta mdada mwenye umri kati 30 na 45. Kama unakidhi vigezo mcheki Mlima meru
 
Last edited by a moderator:
Ungeweka na picha....for the purpose of clarity
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…