M mmp Member Joined Sep 10, 2014 Posts 33 Reaction score 2 Jan 16, 2015 #1 Mimi ni mwanaume,umri wangu ni 30 natafuta mke wa kuoa.Naishi Dar es salaam kwa mawasiliano zaidi ni pm usisahau kuweka namba ya Simu.Ni mwajiriwa,Elimu yangu ni Chuo.
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni 30 natafuta mke wa kuoa.Naishi Dar es salaam kwa mawasiliano zaidi ni pm usisahau kuweka namba ya Simu.Ni mwajiriwa,Elimu yangu ni Chuo.
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 759 Jan 17, 2015 #2 mmp said: Mimi Ni Mwanaume,umri Wangu Ni 30 natafuta mke wa kuoa, >naishi dar.kwa mawasiliano zaidi ni pm.usisahau kuweka namba ya simu. Click to expand... una tsh.ngapi bank?
mmp said: Mimi Ni Mwanaume,umri Wangu Ni 30 natafuta mke wa kuoa, >naishi dar.kwa mawasiliano zaidi ni pm.usisahau kuweka namba ya simu. Click to expand... una tsh.ngapi bank?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jan 17, 2015 #3 utampa nyumba na gari, maana nimepitia post nyingi za kina dada humu ndani wote wanazungumzia pochi ndeeefu
utampa nyumba na gari, maana nimepitia post nyingi za kina dada humu ndani wote wanazungumzia pochi ndeeefu
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Jan 17, 2015 #4 Mkuu umesahau kuweka kazi au biashara unayofanya bila kusahau elimu yako .
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,293 Jan 17, 2015 #5 Urefu wako..rangi na sifa za unayemtafuta
Guus JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,167 Reaction score 904 Jan 17, 2015 #6 Kazi/Biashara ni sawa, ila elimu mbona kaitaja; ingawa akili ya ziada inahitajika kuitambua..."elimu Yangu Ni Chun." Kila la Kheri Ablessed Ablessed said: Mkuu umesahau kuweka kazi au biashara unayofanya bila kusahau elimu yako . Click to expand...
Kazi/Biashara ni sawa, ila elimu mbona kaitaja; ingawa akili ya ziada inahitajika kuitambua..."elimu Yangu Ni Chun." Kila la Kheri Ablessed Ablessed said: Mkuu umesahau kuweka kazi au biashara unayofanya bila kusahau elimu yako . Click to expand...
love more than100 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 2,061 Reaction score 715 Jan 17, 2015 #7 Mimi hapaaaaa....
A Appuch JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 282 Reaction score 145 Jan 17, 2015 #8 love more than100 said: Mimi hapaaaaa.... Click to expand... Kwani kakwambia ujitokeze hapaaa! Nenda PM upeleke namba ya cm yako na picha, na wew useme elimu yako na ajira.
love more than100 said: Mimi hapaaaaa.... Click to expand... Kwani kakwambia ujitokeze hapaaa! Nenda PM upeleke namba ya cm yako na picha, na wew useme elimu yako na ajira.
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Jan 17, 2015 #9 Guus said: Kazi/Biashara ni sawa, ila elimu mbona kaitaja; ingawa akili ya ziada inahitajika kuitambua..."elimu Yangu Ni Chun." Kila la Kheri Ablessed Click to expand... Oooh kukmbe keshataja basi awasubiri watakuja
Guus said: Kazi/Biashara ni sawa, ila elimu mbona kaitaja; ingawa akili ya ziada inahitajika kuitambua..."elimu Yangu Ni Chun." Kila la Kheri Ablessed Click to expand... Oooh kukmbe keshataja basi awasubiri watakuja