Jamani hebu kuweni serious kwenye haja / thread za watu. Heshima ni kitu cha bure. Sio lazima kila thread mseme kitu ,kama thread yeyote haiendani na hitaji lako hebu jaribu kunyamaza na kupita kimya kimya sio lazima ujibu. Kumbuka hata wewe utakuja kupatwa na shida halafu imagine wengine wakikudhihaki utajisikiaje? Hebu tuonyeshe hekima, utu na heshima . Kaka Wa watu anatafuta Mke ,kama angekuwa anataka mchepuko si angesema. Kwa maana yeye ni MTU mzima na ana akili zake timamu. Na kuhusu age amekosea nini kuandika hivyo ? Hebu tuacheni hizo please. Jaribuni kuthamini feelings za wengine, sio vizuri kabisa hivyo. Ndugu usife moyo ,endelea kutafuta na utapata tuu, Mungu akutie nguvu. Usijali binadamu kwa sisi ndivyo tulivyo . Achana na sisi just tizama Juu kwa Mungu wako Naye atakupa huyo mke mtakaye Hata hapa na kokote kule . Thanks.