Jibu swali! Umri huo hujawahi kuoa? Mgane? au? Au unataka watu wamwagiane tindikali? Jielezee maana si kawaida kwa umri huo kuwepo tu! If nooo basi kuna mahali kuna shida.
Utapata bro umri si kigezo,kama una mavumba watakuja faster,kuna yule jamaa wa kenya alikua mwanasheria sir chars njonjo kaoa akiwa na miaka 52,juzi ndo kapata mjukuu akiwa na 94 years,so usijali jipange hujachelewa,ng'ombe hazeeki maini.