Natafuta mwanamke wa kuoa

Kama single mother basi angalau mwanao awe handsome au beautiful na sio kinyume chake[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hutaki kuharibu cv
 
Nioe mimi, mahari tutashea
 
Nioe mimi, mahari tutashea
 
Ai
Mkuu nimepitia mengi nimeumizwa sana kufkia mpk naandka hapa no vigezo vingi cha msingi awe anajitambua na mwenye maono ya maisha
Aisee Pole sana Ndio huyu umempata Anakutesa??? Wadada Muwe Na Huruma Kwa Kaka zenu
 
Kaf
Mkuu uvumilivu wa hali ya juu unahitajika. Hata ivo mi nina mashaka na upatikanaji wa mwanamke humu. Labda wa kujifurahisha siyo wa ndoa. Lakini usikate tamaa.
Kafungua Uzi kashaumizwa Tayari Tena balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…