Wille phestoh
Member
- Oct 6, 2016
- 7
- 0
mi nina samsung note 7 babyUna iphone7 mchumba???
Nina umri wa miaka 27 npo Dodoma n mfanyabiashara natafuta mwanamke wa kuoa mwenye mapenzi ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao hawana mapenzi ya dhati wameniumiza sana kiukwel haijalishi umri ila uwe na mapenzi ya dhati ukitaka kunipata 0716693929 Asante sana
View attachment 421184
Ukijaza hizi sehemu zilizoachwa wazi utanioa, una masters........... una nyumba........ una gari....... una accont bank........... mshahara wako usoma kuanzia digit saba.......... una master card........ baba na mama yako wanandoa............ wanaishi pamoja mpaka sasa........... ndoa yao na umri wako kubwa ni ipi........... haya maswali ya kujibu ndiyo au hapana ukishajibu ntakupa maswali ya kujielezaNina umri wa miaka 27 npo Dodoma n mfanyabiashara natafuta mwanamke wa kuoa mwenye mapenzi ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao hawana mapenzi ya dhati wameniumiza sana kiukwel haijalishi umri ila uwe na mapenzi ya dhati ukitaka kunipata 0716693929 Asante sana
View attachment 421184
Shemeji kavaa taxedo si mchezo....Dada Evelyn Salt et huyu mme atanifaa
Sasa ww maswali yote hayo??? Mm nakuuliza swali moja tu? Are you virgin???Ukijaza hizi sehemu zilizoachwa wazi utanioa, una masters........... una nyumba........ una gari....... una accont bank........... mshahara wako usoma kuanzia digit saba.......... una master card........ baba na mama yako wanandoa............ wanaishi pamoja mpaka sasa........... ndoa yao na umri wako kubwa ni ipi........... haya maswali ya kujibu ndiyo au hapana ukishajibu ntakupa maswali ya kujieleza
Sasa bro,hapo kwenye zipu ndo maandalizi ya honeymoon kabisa au?