Natafuta mwanamke wa kuoa

Wille phestoh

Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
7
Reaction score
0
Mimi ni kijana nina miaka 27 npo Dodoma ni mfanyabiashara wa kawaida natafuta mwanamke wa kweli wa kuoa mwenye mapenz ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao wameumiza sana moyo wangu kwa kipind kirefu sasa natafuta wa kweli wa kuoa umri miaka 25 mpaka 22 aliye tayar anitafute namba 0716693929 Asante.
 
Nenda MMU love connect
 
nenda jukwaa la love connect ........ .hili ni jukwaa la elimu ..mods msaidieni kuhamisha huu Uzi upelekeni kule love connect.
 
25 ad 22 unataka mwarabu nn mbna kinyume kinyume
 
Kula life kakangu unawahi wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…