Natafuta mwanamke wa kuoa

mwanalukago

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
83
Reaction score
15
Hello wapendwa,

Poleni na mihangaiko ya kila siku. Nimejitokeza humu kwa mara ya kwanza kabisa. Kifupi natafuta mwanamke ambaye badaye atakuja kuwa mke wangu seriously. Mimi na mwajiriwa na ninaishi DSM.

Mwanamke huyu anatakiwe awe mcha Mungu, mvumilivu mwenye upeo wa kuona mbali,maji ya kunde au mweupe kwa rangi, asiwe mwembamba sana wala mnene sana awe mkazi wa DSM.

Kama una sifa hizo pliz ni Pm
 
Inabidi niongeze dozi ya maji
 
Humu?
 
Kwani ww n mweupe?
Eti mrefu,jnafiiri kila mrefu anakuwa na mkia mrefu,utasogezwa kizazi wewe!Pata wa kawaida tu kama Joti!Alafu hata awe mweupe vipi naniluu lazma iwe nyeusi
 
Umetoa sifa za mwolewaji sawa, vp sifa zako je?
Jaribu kujifunua kidogo wakuelewe ili iwe rahisi kukutafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…