Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,541
- 1,550
1-Awe muislamu
2-umri 20-30
3- kabila lolote lile
4-Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea
5-awe ameajiriwa au hajaajiliwa ni sawa tu,akiwa ameajiriwa basi akiwa mwalimu ni vyema zaidi.
6-Awe mrembo Kiasi
Sifa zangu
1-Muislamu
2-umri 31
4-mtumishi serikalini
5- Elimu degree
Aliye serious nakaribisha PM
Bwana bwanaHapo namba 6 ,
Mtu atajipimaje kujua kama yupo kwenye hicho kiwango cha urembo kiasi?
Kumbe ulishaiona fursa...haya ushindwe mwenyewe usije ukalia lia hapa upweke tenA🤣🤣🤣🤣Bwana bwana
ingenifaa hii tatz hajasema kama anakubali watoto ujueKumbe ulishaiona fursa...haya ushindwe mwenyewe usije ukalia lia hapa upweke tenA🤣🤣🤣🤣
Wee jaribu bahati yako atakubali tuu cha msingi uwe unamuheshimu na usilete story za oh mpende mtoto wangu kuliko mbususu yanguingenifaa hii tatz hajasema kama anakubali watoto ujue
Nimecheka kwa nguvu hadi naulizwa shida niniWee jaribu bahati yako atakubali tuu cha msingi uwe unamuheshimu na usilete story za oh mpende mtoto wangu kuliko mbususu yangu
Ah masingle maza ndio wanapokoseaga sana hapo...wee mpende mtoto wako mie nimependa mbusush yako sasa gutulie tuyajenge na kupeana raha za dunia.Nimecheka kwa nguvu hadi naulizwa shida nini
ukipenda boga penda na ua lake, si lazima iwe 100% ila jua atakua sehem ya maisha yetuAh masingle maza ndio wanapokoseaga sana hapo...wee mpende mtoto wako mie nimependa mbusush yako sasa gutulie tuyajenge na kupeana raha za dunia.
Ah hilo linaeleweka ila sasa usilete story oh mie umpende mtoto kuliko mie...kwani huyo mtoto wako ndio ananipa mbususu mpaka nimpende kuliko wewe🤣🤣🤣🤣ukipenda boga penda na ua lake, si lazima iwe 100% ila jua atakua sehem ya maisha yetu
Ah hiyo too much ssAh hilo linaeleweka ila sasa usilete story oh mie umpende mtoto kuliko mie...kwani huyo mtoto wako ndio ananipa mbususu mpaka nimpende kuliko wewe🤣🤣🤣🤣