kama nilivyoeleza hapo juu natafuta mwalimu wa kunifunza java programming niko interest kuisoma naipenda nataka kudevelop au Android apps... nafahamu HTML na basic knowledge ya C nipo DAR

Samahani kwa kuchelewa kujibu wadau. Majukumu yanabana kupitia JF inakuwa changamoto. Shukrani kwa Njunwa Wamavoko na login-logout kwa kuwaelekeza wandugu.
Jibu nimeliweka katika nyuzi nyingine. Ahsante kwa mheshimiwa aliye ni text, nitakupigia Jumatatu