Sasa nimeanza kuelewa aina ya wanaume wengi tuliomo humu ni reject mtaani,hatuuziki kabisa.
Ndio maana kuna post nyingi sana za wanaume humu wakilalamika kukosa wake au wapenzi wakati wanawake ni wengi na wamejaa kupita kawaida,wanapatikana kirahsi,kumbe wanaume wengi ni reject.
Masharti ya kawaida sana hayo huyo binti ametoa bado watu mnalalamika?