Natafuta mume

Mwenzenu anashida anataka nae amiliki amechoka za kuunga unga lkn watu wanamubeza
 
Kajichongee kinyago chako dada halafu hizo degree na masters utakitunuku tu hata zile za jk
 

Nimeletwa duniani kwa ajili yako picha yangu hii
 
Kama Unatafta Mume Kwa Masharti Utasubiri Sana Mpaka Uumpate Cha Msingi Wewe Fanya Yako Tu Siyo Lazima Kuishi Na Mwanaume
 
Sijui nijaribu bahati yangu hapa... manake nishachoka sasa! sema dah, masharti magumu ile mbaya.
 
weka picha na mkia
 
Kama Unatafta Mume Kwa Masharti Utasubiri Sana Mpaka Uumpate Cha Msingi Wewe Fanya Yako Tu Siyo Lazima Kuishi Na Mwanaume

Sasa nimeanza kuelewa aina ya wanaume wengi tuliomo humu ni reject mtaani,hatuuziki kabisa.

Ndio maana kuna post nyingi sana za wanaume humu wakilalamika kukosa wake au wapenzi wakati wanawake ni wengi na wamejaa kupita kawaida,wanapatikana kirahsi,kumbe wanaume wengi ni reject.

Masharti ya kawaida sana hayo huyo binti ametoa bado watu mnalalamika?
 
kila la kehri ndugu ila kuna matapeli pia humu, so kuwa makini
 
Mwanzo wa thread alipoandika bi dada kwa chini kuna kibahasha kimeandikwa "SEND PM" pembeni yake kuna nyota ni kitufe cha reputation power


na sis je tunaotumia jf mobile tunapiemuje sasa hatanayo hio option please assist
 
Njoo nikupe wangu kwa vigezo maalumu
 
Tulia baba! Huwa najiamin sana katika usaili...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…