Lough?Don't lough mkuu, watu tupo very serious....
Laugh black beautyLough?....@uajekendu unamuona huyuhafai kabisa
Kama sura ndio hiyo ya kwenye avatar, utapata tabu snleo niliamka nikiwa na wazo la kutafuta mke, naona sala zangu ndio kama hivi zimejibiwa.
Naona umeamua kunichafulia maji kwa Lambo....tehteehhLough?....@uajekendu unamuona huyuhafai kabisa
Eti watu wanasema wanaume wa pwani kazi kufuga mabusha tuu, wao kazi mwikoNa sisi wapwani tuna shida gani .?
Why jameniHaaaahaaaa...hauko serious shost
NdioKwani huko PM ni kutongozana tu?
Hahahahah aisee ..Eti watu wanasema wanaume wa pwani kazi kufuga mabusha tuu, wao kazi mwiko
Haaahaaa....Nazi imepata mkunajiNaona umeamua kunichafulia maji kwa Lambo....tehteehh
Nakuona tuWhy jameni
Ha ha ha ....mi ninae tayari ila sio wapwaniHahahahah aisee ..
Na wewe pia wa pwani huwataki sio
Ndiomaana nasemaga "samaki hapatagi kiu"...tehteehh
Hahaha eehh mkuu au waonajeHaaaaahaaaa
Eti ungemchomekea hata kama humjui