Natafuta mume wa kunioa tafadhali

people peopleeee!!! Stop being negative!!!
Kwani hamjawahi ona watu wanakutana online wanaoana?
Mwenza utampata popote haijalishi jamani!!!
Mdada wa watu kajiwekea tangazo lake hapa! Yani mnavomdiscourage!!!!!hadi huruma!!!
Amejiunga jana,kajiunga leo inakuhusu nini??
Kina melo waanzilishi wapo kimya hawatii neno!! We leo unaedandia komputa za ofisi kelele mingiii!!!
Mwacheni dada wa watu,kama huna msaada waache wanaohusika wamsaidie!
Mnaratibu kazi za Mungu kupanga maeneo ya kupata mke/mme kwa usafi gani ulio nao??
Mwaya we dada kama Mungu alikupangia kupata humu utapata tu mpenzi,mshirikishe Mungu.
Ye ndo anajua na anaweza yote acha hawa wauza maneno waongee,kati yao tena walivopaka mwitu atajitokeza huyo huyo pm akutake! Kuwa makini!
Esp suala la sex . Meet varieties ili upate nafasi ya kuwachunguza!
Epuka loosers n broke as.s.
Goodluck na majibu ulete.
 
Ni PM mama wala usijali chereani ya mgosi ipo hapa
 
Take care, mchumba wa mitandani ni nadra kumpata wa kweli, otherwise utaishia kuchezewa tu.
 
Take care, mchumba wa mitandani ni nadra kumpata wa kweli, otherwise utaishia kuchezewa tu.

acha kumkatisha mwenzako tamaa' mbona tunaoana na wazungu kupitha hii mitandao?
 

asee kama upo kweli piga number 0759786184
 

Naunga mkono hoja yako,tena anaweza kupata wa humuhumu mzuri2 na ndoa yao ikawa mfano wa kuigwa.
 
bado hujafunguka vya kutosha, hebu dadavua wee binti!
 
Jana ndiyo umeingia Jamvini,leo thread ya kwanza unataka mume,kwanini usisome kwanza sheria za mchezo? Una hofu na Mungu gani?

Acha ulbukeni wewe; lengo lake kuja humu ni kutafuta mme. Sasa unataka asubiri nini?
 
kama hitaji lako ni la kweli tuma anuani yako kupiti simu hii 0767405579 ili tuwasiliane
 
Siku ya Wapendano imekaribia kila mtu anataka awe na wa kwake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…