Natafuta mume wa kunioa tafadhali

Tupia picha basi ili mambo yanoge,maana ombi limekuja katika muda muafaka.
 
Wenye hofu ya Mungu huwa hawatafuti waume mtandaoni
 
hebu fafanua vzr tafadhari! Kama elimu,kabila nk na pia elezea elimu yako na uzoefu wako kwenye mapenzi.hope ur not a virgin.all the best.ngoja watakuja tu

umesahau kumuuliza na yy anafanya juhudi.Gani kujiletea maendelao?anataka kuolewa ili awe golikipa
 

Ni PM tuongee
 
Sijui kwa nini nilioa mapema, kumbe huku wapo wa bure mwe mwe mwe!
 

duh mwenyewe nlikuwa natafuta tafadhali fanya kuni inbox tuongee andika umepata mume bora
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…