miss kayumba
New Member
- Jan 13, 2014
- 1
- 11
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi
Joo kwangu nipo tayar

Mmmh! Umefikiria nini hadi kuamua kuja kutafuta mume mitandaoni? Afu,kwani hutongozwi? Vilevile miaka 28 sio msichana tena,bora hata ungejiita 'mdada',mwisho kabisa,weka picha.
Mdada, ingependeza sana kama ungeolewa na mwanaume mwenye experience na ndoa. Ungekuwa muislam ningekushauri uolewe na mwanaume mwenye mke ili mke wa pili. Unless otherwise jiandae kwa stress zaidi ya ulizo nazo.