Polyxic JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 289 Reaction score 156 Sep 10, 2014 #21 Chimbuvu said: Da wenye certificate wahesabu imekula kwao,,ndoa za miaka hii bana,mwanaume mwenye digrii kumuoa binti form 4,la 7,diploma sawa lakini binti akiwa na digrii mpaka mtu awe na masters ama degree,tutaona mwisho wake hayaaaaaaaaa Click to expand... sipati picha mwanamke mwenye PhD, sijui ataolewa na nani.?
Chimbuvu said: Da wenye certificate wahesabu imekula kwao,,ndoa za miaka hii bana,mwanaume mwenye digrii kumuoa binti form 4,la 7,diploma sawa lakini binti akiwa na digrii mpaka mtu awe na masters ama degree,tutaona mwisho wake hayaaaaaaaaa Click to expand... sipati picha mwanamke mwenye PhD, sijui ataolewa na nani.?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,682 Reaction score 120,074 Sep 10, 2014 #22 Sasa kama mtu anayo hiyo Degree lakini hana Kazi? Weka na sifa zako tuzisome