Huwa sipendi Wazigua...potelea karibu mniite mkabila!! Wazigua washirikina sana hata wangekuwa wakristuHabarini ,wanaJamii mm ni msichana uumri 28_30,ni mkristo, nina elimu ya Chuo kikuu ,nina tafuta mume mkristo mwenye hali km yangu, awe na miaka kati ya 30_40MWENYE SIFA ZIFUATAZO:awe ana kazi ya kumuingizia kipato,awe mrefu maji ya kunde,awe mkristo,awe tayali kufunga ndoa takatifu ,asiwe anatumia kilevi,awe ajawai kuoa, awe ajaugua Kwa miaka mingi coz mm nina miezi kadhaa na bado cjatumia dawa
N:B ALIYE SERIOUS ANITAFUTE COZ NKO SERIOUS NA HILI NAPATIKANA DAR nicheck on my email jenitzjeni@gmail.com
Wewe unao mkuu?Ukimwi ni kama pesa kila mtu anasema hana. Wachangajiaji wote hapa kila mtu atajionesha kuwa hana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niambukize mama tuyajenge
AminaKwakweli huu Uzi umeniuma dah, nahisi maumivu sana.
Pole Dada mungu ni kwema. Kuna Dada namjua ana hali kama yako Bahati mbaya akiwa na umri wa 22 alikutana na mkaka kumbe mkaka HIV dah akamuambukiza na mimba juu.
Baadae mkaka kaingia miti, Dada wa watu ameteseka kulea na sisi marafiki hasa Mimi nimemsaidia ninapoweza . Mtoto kawa mkubwa sasa.
Kinachomuuma anadai hajui raha ya mapenzi. Yaani hakuwahi kuwa na mwanaume yeyote.
Pili kwa shape aliyokuwa nayo kila mwanaume anamtaka ila wote anawakataa maana siri anaijua mwenyewe.
Kuna wakaka Watatu wote wako tiyari kwa ndoa, ila wote hawapi hata nafasi ya kujieleza maana roho inamuuma.
Hawa wote Watatu, wawili wamefika kwao na Dada wakitaka uchumba, wazazi wa binti waliwakwepa kwa kuwambia waelewane na na binti.
Inauma sana juzi alikuwa analia eti kwa nini yeye.
Ee mungu waponye kwa muujiza waliopata huu ugonjwa kwa kuambukizwa na wanafiki.
Inauma sana pole dia. Mungu atakupa hitaji lako.