kinyanshanani
Member
- Jul 7, 2015
- 7
- 1
Teh sasa utaitwa mme au mke?Kama utagharimikia wewe gharama za ndoa na mahali mi nipo tayari kukuoa
Teh sasa utaitwa mme au mke?
Kama utagharimikia wewe gharama za ndoa na mahali mi nipo tayari kukuoa
Sema nipo tayari kuolewa. Mahali atoe mwanamke na gharama za harusi hapo utakuwa umeolewa sio umeoa.
Nikigaramia nakuita "muke yangu"Nitaitwa dume la mbegu,teh teh teh!
Nikigaramia nakuita "muke yangu"
JE WEWE NI MJANE ? Huyo mtoto ulimpataje ?Mmi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji km Mimi miaka34-42 tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com kwa atakaekuwa serious