Natafuta mume (H I V + )

Ni wachache sana wako open kama wewe. Mungu akupeujasiri kwa maamuzi uliyochukua
 
Naona kila dalili za kupata mwenzi wako
Usisahau kuja kuomba mchango wa harusi ukishampata mwenzi wako
Sitaki tujuane chakufanya wewe ni kuweka namba ya simu hapa hakika nitakutumia mchango wangu wa harusi yako
Mwenyezi Mungu akupe haja ya moyo wako
 
Niko series glorianganga tumia namba hii kwa Whatssapp,na taraji sunday itarudi Mbeya Kazini likizo imeisha.
 
Hongera kwa kujitambua na kukubali hali uliyonayo. Sifa zote ninazo
NITAFUTE PM
 
Mimi natoa hela jeneza , sanda na funeral van ya usafiri...


watu wanakufa daily kwa malaria, ajali, homa wanawaachahao + jeneza andaa tu waweza tangulia wewe ukalitumia mkuu kifo hakina huruma( in remy ongala voice)
 
watu wanakufa daily kwa malaria, ajali, homa wanawaachahao + jeneza andaa tu waweza tangulia wewe ukalitumia mkuu kifo hakina huruma( in remy ongala voice)
Msamehe bure dada yangu, watu kama hao ndo wenye kufanya dunia kuwa mahali pazuri pa kuishi, maisha yangebore sana endapo wote tungekuwa na mawazo yenye kufanana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…