Kwa mtu mwenye uzoefu na mishe za mjini. Nampa mzigo akipata wateja anapata commision. Kwa maelezo zaidi njoo pm. Kazi ikifanyika ndani ya mwezi commision yawezakuzidi 1mill.
Mzigo upi au nyie ndo mnabebesha watoto wa watu ndaga uzi wenyewe umeandika kihuni huni tu "eti mishe za town" achen shobo hata kama maisha ni magum ila vijana msijirahisishe kihivyo
Wadau kuna mtu naye anahitaji mtu wa sales upande wa tishirt za kisasa kabisa. Anahitaji vijana wanne wakike kwa waume idadi sawa na awe anaishi Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi namba 0712672210.