Habari wadau
Nina Source code ya App za Android na Ios, sasa Bahati Mbaya Mimi Sio Mjuzi sana wa Ionic Hivyo basi Namtafuta Developer anaejua Kutumia Ionic 3 Niweze Kumpa Kazi ya Kunimalizia Matengenezo ya App yangu kwa kufanya Editing Kidogo sana
Tuwasiliane Kupitia 0682981786