breki sifungi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 694 Reaction score 409 May 14, 2016 #1 sifa awe na elimu ya kuanzia ngazi ya cheti na kwendelea, kabila lolote, na awe na tabia nzuri. kwa alie tayari...0787 470737
sifa awe na elimu ya kuanzia ngazi ya cheti na kwendelea, kabila lolote, na awe na tabia nzuri. kwa alie tayari...0787 470737
Galore JF-Expert Member Joined Feb 14, 2015 Posts 253 Reaction score 222 May 14, 2016 #2 Funga breki kwanza,unaonaje na wewe ukitoa sifa zako [emoji1614][emoji1614]
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 3,177 Reaction score 2,547 May 15, 2016 #3 Duuuu mitandaoni mtakutana na mapepo bure, huwezi ukawa serious kutafta mke mitandao hii ilojaa utapeli. Unless ni gear ya kupata vipozeo
Duuuu mitandaoni mtakutana na mapepo bure, huwezi ukawa serious kutafta mke mitandao hii ilojaa utapeli. Unless ni gear ya kupata vipozeo
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,680 Reaction score 167,740 May 15, 2016 #4 Kweli kutongoza online ni rahisi sana..... Hapo ukiongeza na vi emoji umemaliza kabisa
corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,664 Reaction score 3,397 May 15, 2016 #5 Hana haiba huyu ID yenyewe inatisha
K kabunda88 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 3,094 Reaction score 2,693 May 15, 2016 #6 Anaeza kuwa anania ya dhati sana hata hivo naona umri umeenda sana angekuwa bd kijana angeanza kuweka sifa za mtarajiwa wake lukuk kwahyo hapo ''hachagui habagui atakae muoa hamjui''
Anaeza kuwa anania ya dhati sana hata hivo naona umri umeenda sana angekuwa bd kijana angeanza kuweka sifa za mtarajiwa wake lukuk kwahyo hapo ''hachagui habagui atakae muoa hamjui''
Petro Oswald JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 2,391 Reaction score 1,911 May 15, 2016 #7 Tafuta mwanamke wa kuoa...siyo msichana wa kuoa