Niko makini na hili ndugu yangu.Wote watakuja watasema wako serious na maisha,kila la kheri na hili zoezi!
Heshima zenu wakuu:
Ninatafuta msichana aliyeserius na maisha , ikiwezekana tutaoana. Awe mwenye umri kati ya 21-27. Kwa urahisi wa kuonana, akiwa anatoka kanda ya nyanda za juu kusini, moro na Dodoma itakuwa poa zaidi. Nina miaka 29.
Kwa aliye serious tu 0762774511.
Ooh pole ndguBahati nzuri sina sifa
Mkuu inasemekana wewe unaogopa sana kutongoza totoz ana kwa ana ndo mana umekimbilia kwa mtandao kurusha jiwe gizani.Mimi sijui ila wenzako wanakusema hivyo.
Umri wangu upo, mara nyingi aliyeserious haitaji kusikia vyote. Ukiona anataka vyote hivyo, ujue huyo sio mke bali ni mchepuko.Weka picha yako, umri wako, kazi yako, mshahara sh ngapi, unanyumba ngapi na wapi, magari mangapi na aina gani ambatanisha na cheti vipimo vya vvu, kopi ya hati za nyumba, kopi ya kadi za gari ulizonazi kopi za hatu za viwanja ulivyo bavyo.
Ukifanikisha hayo hata ukimtaka wema, lulu wolper au demu yoyote unachukua kiulaini, ukishindwa hayo kama wewe mkiristo nenda kwenye kwaya utapata tu
Kwanini wajiue shem??Walio serious na maisha huwa wana tabia za kujiua shemeji
Unapenda kufanya maendeleo na mwenzio kwa faida yenu,na mengine kama hayo. Unaweza kuni PM tukawasiliana zaidiMtu kuwa serious na maisha ndo inakuaje hiyo.Naomba ufafanuzi kidogo
Unapenda kufanya maendeleo na mwenzio kwa faida yenu,na mengine kama hayo. Unaweza kuni PM tukawasiliana zaidi
ukiona hataki vyote hivyo ujue kashachoka maisha yupo teyari kwenda na yeyote yule mradi asizeeke bila na yeye kuitwa mke. Subiri uone.Umri wangu upo, mara nyingi aliyeserious haitaji kusikia vyote. Ukiona anataka vyote hivyo, ujue huyo sio mke bali ni mchepuko.
Weka picha yako, umri wako, kazi yako, mshahara sh ngapi, unanyumba ngapi na wapi, magari mangapi na aina gani ambatanisha na cheti vipimo vya vvu, kopi ya hati za nyumba, kopi ya kadi za gari ulizonazi kopi za hatu za viwanja ulivyo bavyo.
Ukifanikisha hayo hata ukimtaka wema, lulu wolper au demu yoyote unachukua kiulaini, ukishindwa hayo kama wewe mkiristo nenda kwenye kwaya utapata tu