Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

Hapo kwenye red kama nimekupata vizuri,inaonekana hupendi mtu mwenye tabia hizo.
 
Vigezo unavyotaka nnavyo na zaidi sema wewe huna nnavyotaka.

Kwanza kabila lako jeuri sana. . yote mawili. Weusi wako hautapendezesha watoto, na elimu bado sana.
hahaha sawa lizzy
kama vigezo bado sana ntakubali
kuhusu elimu siwezi anika elimu yangu yote,,
watoto wakitoka weusi basi we pi utakuwa mweusi
kuhusu ujeuri wamasai mbona sio wajeuri jamani?
 
Hivi kungekuwa na namna ya kupress oda kwa mungu na kumpa sifa na vigezo za aina ya wenzi tunaotaka na kututengenezea ingekuwaje!!!

Najaribu tu kulifikiria hili maana mmmm...........................................!!!
 
ingekuwa nzuri zaidi
mana unakula kitu rohoo inataka
 
Nnavigezo vyote, lakini kabila lako mnakunywa damu na nyama mbichi...naogopa usijekuwa cannibal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…