Natafuta msaada wa uhamisho

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1,152
Reaction score
3,967
MSAADA UNAHITAJIKA

Kwanza kabisa niwape pole kwa shughuli zenu za hapa na pale.

Mimi nimefanikiwa kubadilishana na Mtu wa Kaliua mkoa wa Tabora. Kwahiyo mda sio mrefu nahamia Kaliua.

Tatizo langu Ni kwamba nataka kuhamia Tabora mjini japo Document zangu za kubadilishana zinanitaka niende Kaliua.

Je,Kama ninataka kuhamia Tabora mjini Juu kwa juu (Kiutu uzima) natakiwa kukutana na Nani pale Tabora kuanzia Mkurugenzi,Afisa Elimu,Katibu tawala au Nani? Shukrani.
 
Juu kwa juu nenda tamisemi, mwajiri wako atapewa amri. Nanukuu sehem yake, "kwa mamlaka niliyokasimi kwa barua yenye kumb , nakuahamisha toka halmashauri x kwenda manispaa ya tabora, utafanya kazi kama mwl.

Nakala katb tawala mkoa_aione kwenye jarada.
Nakala md tabora-mpangie majukumu.

Andaa buku kiutu uzima ya limu na kuondoa mikosi. Ova
 
Mengine uwe unawatafuta wahusika/unaotarajia wakusaidie uso kwa uso.Mnajiharibia mambo kwa vitu ambavyo ulipaswa kutumia akili kidogo uliyobaki nayo.
 
NJOO MOSHI DC MIMI NIJE ARUSHA DC IDARA SEKONDARI 0757012317
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…