Kilichagaa19
Member
- Sep 14, 2018
- 83
- 46
😂😂😂😂😂😂😂😂Vigezo vyote ninavyo ila tatizo tu mi mchafu ambaye napenda msichana ndo anifanye kuwa msafi.
Haya mkorea chumong31-33 umri yan unatafuta uyo MPEZI kama unasolve maths iv
Kaz ya uyo MPEZI na ww vinauhusiano gan??
Labda nijarbu kuongea ktu mpenzi wa kwel na mwenye mapenz ya dhat n kaz yako mwenyew
Okeyduuuh tatizo mimi mrefu sana
ft 8, nije pm?Okey
Unatafuta mpenzi wa outings?Natafuta mpenzi nipo serious .
Awe anapenda outings
Awe anajitambua
Apende wasichana wachangamfu awe anapenda kubadilika .
Asiwe mrefu sana wasrani couse mimi ni wastani.
Mwenye upendo
Na heshima .
Arusha na Moshi ni advantage kubwa .
Awe nakazi sio mchafu msafi.
31- 33 Umri.
Nipo serious ni pm
Ndio natafutakupata mpezi anaejitambua utapata tabu sana tafuta tu mpezi wa outing
Ngulelomanka upo chuga au pande zipi
Njoo PM tuyajenge. Vigezo vyote vipo ila uwe serious! Karibu mpenzi!mtuanayetaka mazungumzo aje pm
Mkuuu, wewe k au unamkia ? PleaseNatafuta mpenzi nipo serious .
Awe anapenda outings
Awe anajitambua
Apende wasichana wachangamfu awe anapenda kubadilika .
Asiwe mrefu sana wasrani couse mimi ni wastani.
Mwenye upendo
Na heshima .
Arusha na Moshi ni advantage kubwa .
Awe nakazi sio mchafu msafi.
31- 33 Umri.
Nipo serious ni pm