Sasa huna mengi unafikiri mtu atajileta tu wakati haujajieleza?
1.jinsia yako
2.Sababu za kuhitaji mpenzi( je ni kuoa/kuolewa naye au wa hit and run)
3.kazi yako(umejiajiri au umeajiriwa) nk..... funguka unafikiri watakuja kichwa kichwa tu kuna mengi wanatakakusikia kutoka kwako ebo!