Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 Sep 15, 2015 #21 webondo said: Akiwa kwa sebule waongee juu ya UKAWA, akiwa jikoni UKAWA, akiwa bafuni waongee juu ya UKAWA, wakiwa kitandani iwe UKAWA... Yeye ataka hivyo atiii! Click to expand... Ni ujinga ujinga tu.
webondo said: Akiwa kwa sebule waongee juu ya UKAWA, akiwa jikoni UKAWA, akiwa bafuni waongee juu ya UKAWA, wakiwa kitandani iwe UKAWA... Yeye ataka hivyo atiii! Click to expand... Ni ujinga ujinga tu.
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Sep 15, 2015 Thread starter #22 Apologise lady huu uzi umeung'ang'ani utazani nimeundika kwa ajili yako. Na sijui ni kipi kinawauma nyie maccm mimi kutafuta asiye mwana ccm.
Apologise lady huu uzi umeung'ang'ani utazani nimeundika kwa ajili yako. Na sijui ni kipi kinawauma nyie maccm mimi kutafuta asiye mwana ccm.
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Sep 15, 2015 Thread starter #23 Hapo nimetaja Ccm tu na si chama kingine. Halafu ukawa siyo chama cha siasa nyie wapuuzi msioelewa mambo.
Hapo nimetaja Ccm tu na si chama kingine. Halafu ukawa siyo chama cha siasa nyie wapuuzi msioelewa mambo.