marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Kipato chako kwa mwezi? mkristu wa dhehebu gan? wapatikana wap? je watumia kilevi na sigara? una mtoto hata wa kusingiziwa? Elimu yako je? na mwonekano wako??
Kipato chako kwa mwezi? mkristu wa dhehebu gan? wapatikana wap? je watumia kilevi na sigara? una mtoto hata wa kusingiziwa? Elimu yako je? na mwonekano wako??
shukran kwa maswali mazuri,siwezi kusema kuhusu kipato hapa,lakini kwa habari ya dhehebu mm ni lutheran,nipo dsm,situmii kilevi chochote wala sigara,sina mtoto hata wa kusingiziwa,elimu ni chuo kikuu bado ninatafuta kazi,ni urefu wa wastani,mweupe na mwili wa wastan.
Huwezi sema kipato kwa kuwa bado unatafuta kazi. Wadada washakusoma. Kwa hapa Daslam.... unalo ndugu yangu.
Kila la kheri.
Connection error.........ikiwa mtu ataangalia kipato kama msingi wa mahusiano,hii si sahihi,kama wadada wengi wana mtazamo huo mm watanikosa hakika,na mm sijutii hata kidogo kuwakosa kwa sababu huo ni ufinyu wa fikra na uhaba wa imani,kama wewe unamhitaji mwenye mapenzi ya dhati na unasifa hizo mdada nishtue,lakini kama unamtaka mwanamme mwenye kipato cha dhati watafute wengine mm sina kipato cha dhati kwa sasa....kipato kinatengenezwa tu.....
Connection error.........
una maanisha nn?
ikiwa mtu ataangalia kipato kama msingi wa mahusiano,hii si sahihi,kama wadada wengi wana mtazamo huo mm watanikosa hakika,na mm sijutii hata kidogo kuwakosa kwa sababu huo ni ufinyu wa fikra na uhaba wa imani,kama wewe unamhitaji mwenye mapenzi ya dhati na unasifa hizo mdada nishtue,lakini kama unamtaka mwanamme mwenye kipato cha dhati watafute wengine mm sina kipato cha dhati kwa sasa....kipato kinatengenezwa tu.....
Nilijibu kitu kumbe hakijatokea.....8mb zitakuwa zimekata
samahani una miaka mingapi?
Niamkie mimi baba yako. Umri wangu huu mama yako anaweza mke wangu.
Zingatia ushauri wangu baada ya kuniamkia.
kaka huo ujumbe sio kwako ni kwa mabinti na wanawake,usije fikiri nimekugeuza mwanamke,samahani kama nimekukwaza
Asante sanaPamoja sana.
Kila la kheri, Mungu akuongoze katika hitaji lako.
Vipi, unataka kujaribu bahati yako?
shukran kwa maswali mazuri,siwezi kusema kuhusu kipato hapa,lakini kwa habari ya dhehebu mm ni lutheran,nipo dsm,situmii kilevi chochote wala sigara,sina mtoto hata wa kusingiziwa,elimu ni chuo kikuu bado ninatafuta kazi,ni urefu wa wastani,mweupe na mwili wa wastan.
afute mimi inbox kama kweli upo SIRIOUSIkiwa mtu ataangalia kipato kama msingi wa mahusiano,hii si sahihi,kama wadada wengi wana mtazamo huo mm watanikosa hakika,na mm sijutii hata kidogo kuwakosa kwa sababu huo ni ufinyu wa fikra na uhaba wa imani.
Kama wewe unamhitaji mwenye mapenzi ya dhati na unasifa hizo mdada nishtue,lakini kama unamtaka mwanamme mwenye kipato cha dhati watafute wengine mm sina kipato cha dhati kwa sasa kipato kinatengenezwa tu.
Mpenzi namba 3 inataka uangalie hali halisi ya kiuchumi iliyopo! πππConnection error.........