S smoerish New Member Joined Jul 18, 2019 Posts 3 Reaction score 5 Jul 29, 2019 #1 Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Jul 29, 2019 #2 smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... Umempata...
smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... Umempata...
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,484 Jul 29, 2019 #3 mimi nipo tayari, napatkana dar, kwa maelezo zaidi nicheki pm
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,590 Reaction score 60,795 Jul 29, 2019 #4 radicals said: mimi nipo tayari, napatkana dar, kwa maelezo zaidi nicheki pm Click to expand... mkuu, mbona unataka nasa mtego wa tisi?
radicals said: mimi nipo tayari, napatkana dar, kwa maelezo zaidi nicheki pm Click to expand... mkuu, mbona unataka nasa mtego wa tisi?
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Jul 29, 2019 #5 Mume wa miaka 26.?! Kila la kheri maa
Wyatt Mathewson JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 10,755 Reaction score 25,388 Jul 29, 2019 #6 smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... I wish upate hitaji la moyo wako! Wanaopendwa hawataki and vice versa,dunia sio fair kabisa!
smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... I wish upate hitaji la moyo wako! Wanaopendwa hawataki and vice versa,dunia sio fair kabisa!
Kilwa94 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 2,727 Reaction score 3,139 Jul 29, 2019 #7 Nina miaka 25 njoo Pm nikupe full details
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,838 Reaction score 7,890 Jul 29, 2019 #8 smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... Tatizo umri umeenda nimekosa nafasi hiyo. Ukiongeza umri niambie nijaribu
smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... Tatizo umri umeenda nimekosa nafasi hiyo. Ukiongeza umri niambie nijaribu
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 Jul 29, 2019 #9 Mkuu wewe huna vigezo kama Dini Kipato Urefu Rangi Blood group Rangi ya macho na nywele Aina ya gari analotumia Kabila Mkoa anaotokea N.k
Mkuu wewe huna vigezo kama Dini Kipato Urefu Rangi Blood group Rangi ya macho na nywele Aina ya gari analotumia Kabila Mkoa anaotokea N.k
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,935 Jul 29, 2019 #10 smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... Hapa nadhani sasa ni muda wangu wa kutangaza nia ili 2020 isinipite. Njoo pm tuongee
smoerish said: Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26.. Click to expand... Hapa nadhani sasa ni muda wangu wa kutangaza nia ili 2020 isinipite. Njoo pm tuongee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,103 Reaction score 184,858 Jul 29, 2019 #11 Ngoja waje... Cc: mahondaw
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Jul 29, 2019 #12 yna2 said: Mume wa miaka 26.?! Kila la kheri maa Click to expand... Anasema yeye anamiaka 26,kwaiyo jiongeze kiakili hapo
yna2 said: Mume wa miaka 26.?! Kila la kheri maa Click to expand... Anasema yeye anamiaka 26,kwaiyo jiongeze kiakili hapo
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 6,465 Reaction score 11,546 Jul 29, 2019 #13 Upo serious?