mkuu bado unamkumbuka?tuliamua kujitoa ufahamu,mimi,wife,mama mwenye nyumba na wapangaji wengine wawili,alipoanza tu kupiga mayowe yake hayo tukamgongea dirisha na mlango,alinyamaza kwa muda kisha akafungua,tulimwambia kuwa hata sisi huwa tunaduu lakini sio iwe kero kwa wengine.hatuhutaji kelele za aina hiyo.ni kama wiki na nusu sasa sijamuona tena hata yule mshikaji wake,labda huwa wanaduu sehemu nyingine.ila heshima imekuwepo