Natafuta Mmama

Mwanzije

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Nahitaji mama mstarabu wa kuniridhisha na kunitoa upweke maana hali si nzuri. Awe anaishi dar. Aliyetayari anipm namba yake nimtafute.
 
Waheshimu baba yako na mama yako upate kula mema ya nchi na kuishi maisha marefu ref: kutoka 20: >>>😕
 
Kwanini wanikose? Usiwafanyie hivo vijana wenzio...

Ukishakua na mm hutawatafuta wengine na wote waliotangulia utajikuta unawaacha..!!

Kama jimama Evelyn Salt mbishi basi anijaribu..
 
Kijana sasa mbona una vitisho....kila mtu angetaka kuwa mmiliki hata wewe usingenipata
 
Nahitaji mama mstarabu wa kuniridhisha na kunitoa upweke maana hali si nzuri. Awe anaishi dar. Aliyetayari anipm namba yake nimtafute.

Unahitaji chuma ulete au mmama tu?? Njoo kwangu mimi ni mmama ila sasa hela sina za kuchunwa!!!! Uwe tayari kunigharimia maisha kwa kuwa ninasomesha wadogo zako. Ikiwezekana na kaada unipige jeki!!! Kama wewe ni Mario basi hapa usepe tu. Mwanamke kutunzwa ati!!! Dogo acha kukimbia majukumu, vya mteremko vitakulemaza!!! Mkono mtupu haulambwi!!!
 
Kijana sasa mbona una vitisho....kila mtu angetaka kuwa mmiliki hata wewe usingenipata

Hiyo ndo habari kamili wala sio vitisho nacover sehemu ya watu wanne ndio maana sikutaka kuingia kuwazibia wenzangu rikizi kwa mrembo; jimama Evelyn
 
Kijana wangu naona hapa mbwa kala mbwa....
mi mwenyewe nacover nafasi ya mabinti 6....
 
Hahahaa daah basi tenaaa njoo kuwa njia kuu yangu wengine fanya michepuko ruksa sinaga wivu pia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…