K kwelakenya Member Joined Jan 21, 2010 Posts 59 Reaction score 6 Jun 13, 2012 #1 Wana JF, natafuta mkopo wa laki 3, nitaripa kwa riba ya laki 1.nitaweka rehani simu yangu mpya kabisa ya laki 5.niko dar, mwenye hizo hela anitumie namba yake tuwasiliane.
Wana JF, natafuta mkopo wa laki 3, nitaripa kwa riba ya laki 1.nitaweka rehani simu yangu mpya kabisa ya laki 5.niko dar, mwenye hizo hela anitumie namba yake tuwasiliane.